Saturday, November 10, 2012

masoudndugu.blogspot.com
maisha ya shule ni safari ndefu yenye mabonde na milima, kuna wakati shule inakua nzuri hadi ukatamani milele uwe mwanafunzi ila kuna wakati shule inachukiza hadi ukatamani ukaishi nyumbani, sitosahau maisha yangu ya shule kipindi nasoma sekondari moshi tech nilikutana na vitu vingi na watu wa kila aina kitabia rangi na hata kabira pia nakumbuka jinsi ilivyosumbuliwa na mapenzi katika umri huu ambapo nlikua nikisoma sekondari ni hadithi ndefu kwa ukweli na inasisimua nikitu ambacho sitasahau katika maisha yangu muda huu ambao nilikua nikisoma sekondari kweri mambo mengi nilianza kuyafanya katika muda huu hadi sasa nmekua na mikasa kadhaa ya mapenzi n amaisha kwa ujumla.

0 comments :

Post a Comment