ukweli kuhusu nguva
toka nakua nimekua nikisikia kuhusu samaki nguva niliwahi kufatilia na nikagundua hizo zilikua hadithi tu, sina uhakika kuhusiana na jambo hili. nilikuja kugundua huyu samaki nguva hayuko kama watu wanavyo fikiria anafananishwa na nyangumi ambaye anasifa kama za binadamu ambapo nyangumi hunyonyesha tofauti na samaki au wanyama wengine wa majini,,,,,,,,,....
imeandaliwa na kuandikwa na Masoud Ndugu (xoudy blizzy)
imeandaliwa na kuandikwa na Masoud Ndugu (xoudy blizzy)
11/13/2012 05:06:00 PM
Unknown

0 comments :
Post a Comment