Wednesday, January 28, 2015



Msanii Peter Andre, jina kamili Peter James Andrea ni mwanamuziki muimbaji, mwandishi, mfanyabiashara na mtangazaji, aliyejulikana kwa wimbo wake maarufu "Mysterious Girl" na
"Flava" huko uingereza.
Alizaliwa February 27, 1973, Harrow London

0 comments :

Post a Comment